Tuesday, 31 May 2011

Padri wa kanisa Katoliki atuhumiwa kubaka mwanafunzi

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamtafuta Padri wa kanisa Katoliki la jimbo la mkoa Morogoro, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya sekondari ya Alfa.


Taarifa hizo zilitolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Adolphina Chialo

Chialo aliviambia vyombo vya habari kuwa, mwanafunzi huyo ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sasa, aliripoti tukio hilo Mei 28, mwaka huu na kudai kufanyiwa unyama huo Machi 30 mwaka huu na Padri huyo akiwa jijini Dar es Salaam.

Chialo alisema kuwa maelezo ya mwanafunzi huyo yalisema Padri huyo alimwita mwanafunzi huyo aje jijini Dar es Salaam ili aweze kumpatie fedha za masomo ya ziada ikiwa ni utaratibu wake wa kumsaidia mara kwa mara kama yatima kutokana na mwanafunzi huyo kujitangaza kuomba misaada kwa wasamaria.

Alisema mwanafunzi huyo kuwa, Padri huyo alimpigia simu mwanafunzi huyo ya kumtaka kwenda jijini Dar es Salaam akachukue fedha za kumsaidia kimasomo na mwanafunzi huyo kudai hakuonyesha shaka kwa kuwa hakufikiria kama angefanyiwa hivyo na alifunga safari na kwenda huko.

Maelezo ya mwanafunzi huyo yalidai alipofika Dar es Salaam eneo la Manzese alipomuelekeza alianza kupatwa na mashaka pale Padri alipomtaka waingie chumbani na kumwambia hawezi kumpa fedha hizo hadharani.

Ilidaiwa alipofika chumbani mwanafunzi huyo Padri alifunga mlango kisha kumfanyia kitendo cha kumuingilia pasipo idhini yake na kumsihi asiseme tukio hilo kwa mtu yeyote.

Ndipo mwanafunzi huyo alitoa taarifa hiyo ili aweze kupatiwa msaada wa kisheria kwa kuwa alikuwa na wasiwasi na afya yake kwa kushindwa kuendelea kumsikiliza Padri huyo kwa maombi yake ya kumtaka asifichue tukio hilo popote kwani angelidhalilisha kanisa.

Karzai Warns NATO Against Airstrikes on Houses

Afghan President Hamid Karzai has warned NATO that launching airstrikes on houses while targeting militants will not be allowed, as he continued to press U.S. and NATO forces about civilian casualties.

Mr. Karzai said Tuesday the Afghan people can no longer tolerate the attacks, and that the U.S.-led coalition risks being seen as an “occupying force” if the bombings continue.

The comments come a day after the Afghan leader issued what he called his “last warning” about civilian casualties.

NATO has apologized for the deaths of nine civilians killed Saturday in an airstrike in Helmand province. Afghan authorities say the strike hit two houses and killed 14 people.

A White House spokesman said Sunday the U.S. shares Mr. Karzai's concern about civilian casualties.

Meanwhile, the top British general in Afghanistan has warned against any significant pullout of troops from the country until late 2012.

In an interview with Britain's Daily Telegraph newspaper, General James Bucknall said that, in order to hold on to recent gains against the Taliban, the U.S. troop reinforcements that arrived in Afghanistan last year should stay for two more summer fighting seasons.

General Bucknall said any significant withdrawal of troops would send “conflicting signals on commitment to the campaign” in the war-torn country.

Some argue that the death of al-Qaida leader Osama bin Laden is a good reason to accelerate the pullout from Afghanistan.

Also Tuesday, Australian officials said two of the four coalition soldiers killed in Afghanistan a day earlier were Australian.

Defense Force chief Marshal Angus Houston said one of the soldiers was shot dead by his Afghan colleague, while the other died in a helicopter crash. Their deaths bring the number of Australian soldiers killed in the conflict to 26.

Mambo yapo poa FIFA

Sepp Blatter
Sepp Blatter

Rais wa shirikisho la Soka Duniani Sepp Blatter amesisitiza kuwa Fifa haiko kwenye msukosuko, licha ya "pigo kubwa" kwa sifa yake kutokana na madai ya ufisadi. "hakuna msukosuko kwenye soka, ni matatizo madogo madogo," alisema Blatter.

Blatter alipuuza maoni, kutoka kwa baadhi ya wadau ikiwemo serikali ya Uingereza, kwamba uchaguzi wa urais wa Jumatano ambao yeye ni mgombea pekee uahirishwe.

"wakati serikali zinapojaribu kuingilia kati, basi kuna tatizo," alisema. "nafikiri Fifa iko imara sana kiasi cha kwamba tunaweza kushughulikia matatizo yetu bila usaidizi."

Kwa jambo lisilo la kawaida, Blatter aliwahutubia waandishi wa habari akiwa peke yake mjini Zurich na kuonyesha ukakamavu licha ya utata unaozunguka shirikisho lake.

Lakini alimaliza mkutano huo kwa majibizano na mwandishi wa habari wa Ujerumani na hasa akizungumzia wakati yeye mwenyewe alipokuwa mwandishi, akilalamikia kuhusu ukosefu wa "nidhamu" kutoka kwa baadhi ya waandishi wa habari, alionya : "hatuko sokoni hapa;tuko katika jengo la Fifa."

Z’bar posts $9m deficit in current account amid fall in clove export



Zanzibar registered a current account balance deficit of $9.1 million in the year ending March 2011 compared to a surplus of $4.4 million in the corresponding period in 2010 due to lower cloves exports and increased imports, according to Bank of Tanzania.

The Bank’s April monthly economic review said declining current transfers also contributed to the deficit.Exports of goods and services increased, however, to $140 million up from $131 million recorded during the year ending March 2010. The increase was due to a rise in service receipts to $124.4 million from $107.1 million in the reviewed period.

“Clove shipments declined by 29.1 per cent to $7.3 million from $10.3 million mainly due to a fall in export volume from 2,900 to 2,000 tonnes,” says the report.On the other hand, imports of goods and services in Zanzibar amounted to $188.3 million in the year ending March 2011 compared with $182.8 million recorded in the corresponding period a year earlier. The outturn of the imports of goods and services, the report says, was largely driven by the increase in the price of imported oil and value of capital goods.

Total goods imports (c.i.f), in the month under review, increased to $111.7 million from $98.4 million. Capital goods imports increased to $40.3 million from $38.6 million recorded during the corresponding period in 2010.

Manufactured goods exports which include essential oils and rubber declined to $2.9 million from $4.8 million due to the lack of raw materials for manufacturing of essential oils. Intermediate goods imports which include oil imports and industrial raw materials, driven mainly by oil, increased to $52.2 million from $38.7 million while food and food stuff imports declined to $7.0 million from $8.0 million last year.

In the period under review services account recorded a surplus of $37.8 million from a surplus $13.9 million recorded in the corresponding period in 2010. Total foreign receipts amounted to $124.4 million higher from $107.1 million while foreign payments declined from $93.2 million to $86.7 million.

Marando: Tunamtaka Rais mahakamani

WAKILI Mabere Marando anayemtetea Profesa Costa Mahalu aliyekuwa na Balozi wa Tanzania nchini Italia, amesema ataiomba mahakama imlazimishe Rais Jakaya Kikwete kufika mahakamani kumtetea mteja mteja wake iwapo hatakubali kwenda kutoa ushahidi baada ya kuombwa kufanya hivyo kwa barua.Marando ametoa kauli hiyo wakati Profesa Mahalu na mwenzake Grace Martin wakianza kujitetea leo.

Mbali na utetezi wao binafsi, wanatarajia pia kuwa na mashahidi kadhaa wa kuwatetea akiwamo Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa pamoja na Rais Kikwete.Tayari Rais Mkapa amewasilisha mahakamani hapo hati yake ya kiapo akimtetea Profesa Mahalu na mwenzake kuhusiana na tuhuma zinazowakabili huku akibainisha kuwa yuko tayari kufika mahakamani iwapo italazimu.

Lakini hadi jana, Rais Kikwete alikuwa hajajibu barua aliyoandikiwa na Wakili Marando kwa niaba ya wateja wake wakimwomba akubali wa kufika mahakamani kuwatetea au kuwasilisha kiapo chake ambacho kitatumika kama ushahidi wa utetezi dhidi yao.

Marando alisema jana kuwa Rais Kikwete alikuwa hajajibu barua hiyo, lakini akasema ikiwa Profesa Mahalu atamaliza kujitetea pamoja na mashahidi wengine kabla Rais Kikwete hajakubali, wataiomba mahakama imkumbushe.

“Kama atakaidi hata baada ya mahakama kumwandikia, basi tutaomba kesi hiyo iahirishwe hadi mwaka 2016 (wakati atakapokuwa amemaliza muda wake wa urais) ili imlazimishe kuja kutoa ushahidi huo,” alisema Marando.

Mei 3, mwaka huu Wakili Marando alimwandikia barua Rais Kikwete yenye kumbukumbu namba MM/PCRM/2011/1 kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, akibainisha kuwa ni miongoni mwa mashahidi muhimu ambao wateja wao wamewaagiza wamwite.

Barua hiyo inabainisha kuwa umuhimu wa Rais Kikwete katika ushahidi huo wa utetezi unatokana na ukweli kwamba nyumba hiyo ya Ubalozi wa Italia ilinunuliwa wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na kwamba alikuwa na taarifa zote kuhusu mchakato wa ununuzi wake.

Mchakato huo, kwa mujibu wa barua hiyo ni pamoja na nguvu ya kisheria aliyopewa mteja wao ambayo ilisainiwa na Rais Kikwete wakati huo akiwa Waziri Septemba 24, 2004 pamoja na hotuba yake aliyoitoa Bungeni Agosti 3, 2004 akithibitisha kuwa ununuzi wa jengo hilo haukuwa na mushkeli wowote.

Pia barua hiyo inaweka wazi kuwa kuna barua nyingi tu ambazo Profesa Mahalu alimwandikia Kikwete akiwa waziri, pamoja na katibu mkuu wa wizara hiyo, ambazo anapaswa kuzitambua mahakamani wakati wa utetezi.

“Kwa hiyo tunaomba kwa unyenyekevu kabisa, uweke barua yetu hii mbele ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania; aisome na akueleze utujibu kama hana pingamizi kuja kueleza ukweli mahakamani. Kama muda wake hauruhusu, kulingana na ratiba zake za kitaifa, tunaomba aturuhusu tumwandalie kiapo (affidavit) kitakachoeleza yaliyotekea ili tukiwasilishe mahakamani badala ya kumwita yeye mahakamani”, inasisitiza barua hiyo na kuongeza kuwa hakuna kifungu cha Katiba kinachozuia Rais kuitwa kutoa ushahidi mahakamani.

Katika kiapo chake alichokiwasilisha mahakamani, Mkapa anamtetea Mahalu na akidai kuwa amefanya naye kazi kwa muda mrefu na anamjua kuwa ni mtu mwaminifu, mtiifu na mchakapakazi. Mkapa alieleza katika hati yake hiyo kuwa mchakato wa ununuzi wa jengo hilo ulifanyika wakati wa uongozi wake na kwamba alikuwa akijua kila kilichokuwa kikiendelea kuhusiana na ununuzi huo na kwamba ulifanyika kwa mujibu wa sheria.

Alifafanua kuwa mpango wa ununuzi wa jengo hilo ulikuwa ni utekelezaji wa sera ya serikali wa kuwa na majengo yake ya kudumu katika kila ubalozi kwa kununua au kujenga ikiwa ni njia ya kupunguza gharama za upangaji. Aliongeza kuwa serikali yake ilimpa Profesa Mahalu mamlaka yote kupitia nguvu ya kisheria ya kusimamia na kutekeleza mchakato wa ununuzi wa jengo.

Mkapa alisisitiza kuwa kupitia utaratibu wa serikali, alikuwa akijua kuwa taarifa ya uthamini wa jengo hilo iliyofanywa na Wizara ya Ujenzi ilikuwa ni Dola za Marekani 3.0 milioni wakati Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ilikadiriwa Euro 5.5 milioni: “Kupitia utaratibu wa serikali nilifahamu kuwa jengo hilo lilinunuliwa kwa gharama ya Dola za Marekani 3.0milioni sawa na Euro 3,098,741.40,” alisema Mkapa.

Pia Mkapa alisisitiza kuwa alikuwa na bado anatambua taarifa ya serikali bungeni ya Agosti 3, 2004 iliyoeleza na kuthibitisha kuwa taratibu zote za ununuzi wa jengo hilo zilifuatwa kwa mujibu wa maelekezo ya serikali na kwamba dalali alilipwa kikamilifu.

“Kwa kipindi chote ambacho nimefanya kazi na Balozi Mahalu katika nafasi mbalimbali za utumishi wa serikali ameonyesha tabia thabiti na za dhati, uaminifu, utiifu, uchapakazi na ubora," alisema Mkapa.

Alisema kuwa sifa hizo zilimfanya atunukiwe na Rais wa Italia, Tuzo ya Heshima ya Juu wakati wa kuadhimisha Siku ya Taifa hilo, muda mrefu baada ya kuwa ameondoka nchini humo.

Profesa Mahalu na mwenzake, Martin aliyekuwa Ofisa Utawala wa ubalozi huo wanakabiliwa na mashtaka hayo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakidaiwa kuhujumu uchumi kwa kuisababishia Serikali hasara ya Euro 2,065,827.60. Wanadaiwa kusababisha hasara hiyo kupitia mchakato wa ununuzi wa jengo la ubalozi huo, wakati wa utumishi wao.

Kutokana na mashtaka hayo, leo wanadiplomasia hao wanaanza kujitetea baada ya mahakama hiyo kuwaona kuwa wana kesi ya kujibu.Mahalu na Martin wanadaiwa kula njama na kutenda makosa hayo katika tarehe tofauti na katika maeneo tofauti huko Italia, likiwamo la kumpotosha mwajiri wao katika hati ya matumizi.

Miongoni mwa mashtaka hayo ni kwamba Septemba 23, 2002 huko Rome, washtakiwa wakiwa waajiriwa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, walisaini vocha yenye namba D2/9/23/9/02 ikionyesha kuwa bei ya ununuzi wa jengo la ubalozi ni Euro 3,098,741.58, maelezo ambayo yalikuwa ni ya uongo na yenye nia ya kumdanganya mwajiri wao.

Now FIFA must vote again on 2022 World Cup

They bought the WC' are the four words that have really put FIFA in the khazi. The most explosive, damning, four words of this whole sorry episode in Zurich.

It raises so many questions, the key one being how Qatar can possibly remain the hosts of the 2022 World Cup when FIFA's general secretary appears to have suggested in an email, to one of the biggest players on the executive committee, that their votes were bought? That, just as everyone suspected back in December, that the voting might have been rigged. That FIFA is an organisation riddled with corruption.
Jerome Valcke says it was a private email to Warner but he does not deny he wrote it and the explanation he tried to give on Monday was far from convincing. 'What I wanted to say is Qatar used their financial strength to lobby for support,' he said, squirming. Do we believe him? I'm certainly struggling when he even tried to claim he had been 'misrepresented' in his own email.

Damning email: Jerome Valcke (centre) with Qatar's 2022 World Cup chairmen after the vote
Jerome Valcke (centre) with Qatar's 2022 World Cup chairmen after the vote

To the astonishment of those of us who were there in Zurich shortly before Christmas, Qatar walked that vote. Round One went like this: Australia 1, Japan 3, US 3, South Korea 4, Qatar 11. Round Two: Japan 2, South Korea 5, US 5, Qatar 10. Round Three: South Korea 5, US 6, Qatar 11. And Round Four: US 8, Qatar 14.

Now if votes were allegedly being bought for the upcoming FIFA presidential election we now have to question whether the suspended Mohamed Bin Hammam was offering large sums of money to ExCo members for their 2022 votes too. We now have to wonder if more than half the members of the FIFA ExCo, the men who essentially run the global game, are dirty as well.
Chuck Blazer, the American who deserves so much credit for going nuclear on Warner and Bin Hammam, insisted on Monday that FIFA is not a corrupt organisation. Simply that there are people within it who are corrupt. But can he now be sure? Should he now not be demanding a further investigation?

Extravagant plans: The Al-Wakrah stadium is just one of several futuristic stadiums set to be built in Qatar
Extravagant plans: The Al-Wakrah stadium is just one of several futuristic stadiums set to be built in Qatar

How did a country boasting a population of 1.7million people win a World Cup in the first place when they will need to build air-conditioned stadiums and training grounds to combat the 50 degree temperatures?

FIFA House has become a house of cards and it will be fascinating to see where this unprecedented period of self-destruction ends. Will Valcke have to go? Will Sepp Blatter, the long-serving Teflon president, have to go too after that astonishing performance at a press conference on Monday night Crisis? What crisis? The man is out of control.

The Doha Port stadium: Planning is under way for the World Cup but many are demanding a re-vote
The Doha Port stadium: Planning is under way for the World Cup but many are demanding a re-vote

It is on his watch, after all, that the credibility of the global governing body is taking such a battering, and it is his general secretary, his right-hand man, who has now dragged the organisation deeper into the mire by emailing that stick of dynamite to the president of CONCACAF.

Blatter has allowed Qatar to secure the World Cup, just as he allowed the voting to make a complete nonsense of the entire bidding process. England put together a superb bid presentation in Zurich, by far the best of the 2018 candidates, and received just two votes for their trouble. Shortly before the votes were cast in Zurich, Blatter reminded ExCo members of the 'evil of the British media'. Those dastardly journalists who had dared suggest that the whole process might be bent.

Losing control: Sepp Blatter (right) as Qatar are given the 2022 World Cup
Losing control: Sepp Blatter (right) as Qatar are given the 2022 World Cup

Blatter would have insisted then that they were above any such suspicion. Just as he would have dismissed any suggestion that the voting could be rigged for a presidential election.

But now the guy his organisation awarded the World Cup is suspended and now there are pictures of $40,000 in bills being circulated. This cannot be swept under the carpet.
The first thing that needs to happen is a new vote for the 2022 World Cup. Then more heads need to roll.

Akatwa uume akiwa katika harakati ya kubaka


Mwanamme mmoja nchini Bangladesh amekatwa uume wake na mwanamke aliyekuwa akijaribu kumbaka na mwanamke huyo kuchukua kipande cha uume huo na kukifikisha polisi kama ushahidi.


Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 40 aliukata kwa kutumia kisu uume wa mwanaume aliyejaribu kumbaka na kisha alikichukua kipande cha uume huo na kukipeleka polisi kama ushahidi.

Mwanamke huyo ambaye ni mama wa watoto watatu alishambuliwa na mwanaume huyo wakati amelala usiku wa jumamosi kwenye kibanda chake kilichopo kwenye kitongoji cha Jhalakathi nje kidogo ya mji mkuu wa Bangladeshi, Dhaka, taarifa ya polisi ilisema.

"Wakati alipojaribu kumbaka, mwanamke huyo alichukua kisu na kuukata uume wake na kisha alikifunga kipande hicho cha uume kwenye nailoni na kukipeleka kwenye kituo cha polisi kama ushahidi wa tukio hilo la ubakaji", alisema mkuu wa polisi Abul Khaer wakati akiongea na shirika la habari la AFP.

Mwanamke huyo alifungua kesi polisi akisema kuwa mwanaume aliyejaribu kumbaka ambaye naye pia ana umri wa miaka 40 ambaye pia ni baba wa watoto watano, alikuwa akimsumbua sana kwa miezi sita sasa.

Kipande cha uume wa mwanaume huyo kilihifadhiwa kwenye kituo cha polisi kama ushahidi wakati mwanaume huyo mbakaji akiwa na uume wake kibubutu alipelekwa hospitali kwa matibabu zaidi ili kunusuru maisha yake.

"Tutamtia mbaroni wakati hali yake itakapokuwa nzuri", alisema mkuu huyo wa polisi.

Monday, 30 May 2011

Obama names new US military boss

 
Gen Martin Dempsey
Dempsey was educated at West Point academy
 
Gen Martin Dempsey has been nominated as the new chairman of the joint chiefs of staff, the highest US military post.

A veteran of the Iraq war, Army Chief of Staff Dempsey will succeed Navy Admiral Mike Mullen as the president's top military adviser on 30 September.

President Obama made the announcement in the White House garden but it is subject to Senate approval.

Obama has also named Adm James Winnefeld, the head of the US Northern Command, to serve as vice chairman.
Gen Ray Odierno was nominated to replace Gen Dempsey as the Army's chief of staff.

In naming Gen Dempsey, the president described him as "one of our nation's most respected and combat-tested generals".

If confirmed by the Senate, the general would be the top adviser as the scaling down of US forces in Iraq continues and troops in Afghanistan begin to come home later this year.

Time in combat

He would be involved in establishing priorities for cutting the defence budget, working with the incoming Defence Secretary Leon Panetta, an appointment that also requires confirmation from the Senate.

Dempsey only just began his four-year tenure as Army chief of staff in April, but he has extensive experience.

His time in combat includes serving as the commander of the 1st Armored Division in Baghdad in 2003 and helping to train Iraqi security forces in another tour.

He also served as acting commander of the US Central Command, overseeing US military operations in the Middle East, Persian Gulf and Central Asia.

Defence Secretary Robert Gates, who retires this year, praised all three appointments.

He said: "They possess the right mix of intellectual heft, moral courage, and strategic vision required to provide sound and candid advice to the president and his national security team."

The Joint Chiefs of Staff (JCS) is based at the Pentagon in Virginia and advises the secretary of defence, the Homeland Security Council, the National Security Council and the president on military matters.
 

Polisi wapiga mabomu ya machozi kutawanya wanafunzi wa shule ya sekondari Tosamaganga Iringa

Wanafunzi wakikimbia kutafuta usalama wao

Wakizidi kuingia msituni kwa kujiepusha na mabomu ya machozi yaliyopigwa na polisi

Wachache walijisalimisha kwa kukaa chini pembezoni mwa barabara


Source: Michuzi blog

Kenya inazuia uchunguzi

Mkuu wa mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa, ICC, ameishutumu serikali ya Kenya, kuwa inafanya kampeni, ya kuzuwia uchunguzi juu ya ghasia zilizofuatia uchaguzi.

Luis Moreno Ocampo
Luis Moreno Ocampo


Mkuu huyo wa mashtaka, Luis Moreno-Ocampo, alisema, serikali inaleta hali ya khofu.

ICC imewashtaki wana-siasa na wafanya-biashara sita, kwa kuchochea ghasia hizo, zilizofuata uchaguzi wa mwaka wa 2007, ambapo watu zaidi ya elfu-moja walikufa. Wote wanakanusha mashtaka hayo.

Serikali ya Kenya imekuwa ikipinga hatua ya ICC, kwa sababu inasema mahakama ya Kenya yenyewe, yanaweza kusikiliza kesi hizo.

Jacob Zuma kujaribu kutatua mzozo wa Libya

Jacob Zuma
Jacob Zuma

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amewasili mjini Tripoli kwa kile kinachoonekana kuwa juhudi za mwisho za kujaribu kutafuta suluhu ya kidiplomasia ya mzozo unaoendelea.

Haifahamiki kama ziara hiyo ambayo ni ya pili kwa Bw Zuma, itaangazia kumshawishi Kanali Muammar Gaddafi kuondoka madarakani.

Waasi wanaopigana na majeshi ya Gaddafi tangu mwezi Februari wamekataa kufanya mazungumzo hadi pale atakapoondoka kwenye uongozi.

Wakati huo huo chama cha Bwana Zuma cha African National Congress kimeshutumu mashambulio ya majeshi ya Nato mjini Libya.

"Tunaungana na bara hili na watu wote wanaopenda amani duniani katika kushtumu mashambulio ya anga yanayoendelea Libya yakifanywa na vikosi vya magharibi," chama cha ANC kimesema katika taarifa siku moja kabla ya ziara ya Zuma.

Shinikizo kutoka kwa jamii ya kimataifa zinaendelea dhidi ya Kanali Gaddafi, huku nchi zinazounda kundi la G8 zikitoa wito siku ya Ijumaa ya kumtaka aondoke na rais wa Urusi Dmitry Medvedev akisema siku ya Jumamosi kwamba hana tena haki ya kuwaongoza watu wa Libya.

Waasi wa Libya waliridhishwa na taarifa hiyo ya kundi la G8.

"Dunia nzima imekubaliana kwamba Kanali Gaddafi na utawala wake hawakupoteza tu uhalali wa kuongoza lakini pia heshima," alisema kiongozi wa waasi Mustafa Abdul Jalil katika taarifa.

Fifa yawasimamisha Bin Hammam na Warner

Mohamed Bin Hammam na  Jack Warner
Mohamed Bin Hammam na Jack Warner

Shirikisho la mchezo wa soka duniani Fifa, limewasimamisha kwa muda wajumbe wawili wa kamati kuu, Mohamed Bin Hammam na Jack Warner baada ya kikao cha kamati yake ya maadili siku ya Jumapili.

Shirikisho hilo sasa litaanzisha uchunguzi kamili juu ya madai kwamba wajumbe wa shirikisho la soka la Caribbean walipewa rushwa.

Maafisa wawili wa shirikisho hilo Debbie Minguell na Jason Sylvester pia wamesimamishwa.
Lakini rais wa Fifa Sepp Blatter hakupatikana na hatia yoyote.

Sepp Blatter 
Sepp Blatter

Petrus Damaseb,makamu mwenyekiti wa kamati ya maadili, alisema haya juu ya Bin Hammam na Warner: "tumeridhika kwamba kuna majibu tunayohitaji kuhusu suala hili."

Hata hivyo, Fifa imesisitiza kuwa hawana hatia kwa sasa hadi itakapothibitishwa kuwa walihusika katika sakata hilo.

Kama watapatikana na hatia, wanaweza kufukuzwa kutoka shirikisho hilo na kupigwa marufuku kushiriki shughuli zozote za mpira wa miguu.

Bin Hammam alikuwa mpinzani pekee wa Blatter katika uchaguzi ujao wa urais wa Fifa lakini alijiondoa mapema siku ya Jumapili.

Sunday, 29 May 2011

Nani yupo sahihi, Barack au Michelle Obama?



Jioni moja Rais Obama na mkewe waliamua kwenda kupata chakula cha jioni katika mkahawa mmoja uliokuwa si mashuhuri sana.

Mmiliki wa mkahawa huo aliwaomba walinzi wa Rais kuwa anataka kuzungumza na mke wa Rais faragha, mmiliki huyo alikubaliwa ombi lake hilo.

Mrs Obama aliporudi kwenye meza aliyoko mumewe mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

             Mr Obama "Mmiliki wa mkahawa alikuwa anataka nini?"

             Mrs Obama " Ameniambia kuwa alinipenda sana nilipokuwa kijana mdogo"

            Mr Obama " Basi kama ungeolewa na yeye basi sasa ungekuwa unamiliki mkahawa huu mzuri"

            Mrs Obama " Hapana, kama angenioa basi sasa angekuwa Rais wa nchi hii ya Marekani"

Sasa wewe ndugu msomaji mnafikiri ni nani aliyesema ukweli kati yao hao wapenzi wawili?

Mercedes Benz watoa helcopter luxury

Mambo ya Mercedes Benz


Kitu kikiwa hewani

Kitu kikiwa kinatua katika Platform yake

Kimetulia katika platform pembeni yake kuna gari aina ya Benz

Muonekano wake kwa ndani
Mashine inavyovutia kwa ndani

Kwa rubani

Inavyozidi kupendeza kwa mataa ya rangi


Nato air strike 'kills 14 civilians' in Afghanistan

Two Afghan men look down at the bodies of two children (not pictured), said to have been killed in a Nato air strike, at a hospital in Lashkar Gah in Helmand province on 29 May 2011  
A group of people brought the bodies of those killed to Helmand's capital, Lashkar Gah
 
A Nato air strike has killed 14 people, all civilians, in south-west Afghanistan's Helmand province, local officials say.

The strike took place in Nawzad district after a US Marines base came under attack on Saturday.

The air strike, which was targeting insurgents, instead struck two civilian homes, killing two women and 12 children, reports say.

Nato and Afghan troops are looking into the incident.

A group from Sera Cala village travelled to Helmand's capital, Lashkar Gah, bringing with them the bodies of eight dead children, some as young as two years old, says the BBC's Quentin Sommerville in Kabul.

"See, they aren't Taliban," they chanted as the carried the corpses to local journalists and the governor's mansion.

Earlier, a coalition soldier was killed in a gun battle with insurgents in the area and an air strike was called in, said a spokesman for the international mission.

While insurgents are responsible for most civilian deaths in Afghanistan, the killings of Afghans by foreign soldiers is a source of deepening anger, our correspondent adds.

President Hamid Karzai has criticised Nato for not doing enough to prevent such deaths, especially during "night raids" and has called on the country's ministry of defence to stop what he described as "arbitrary" operations by foreign forces.

Nuristan 'air strike'

Separately, 20 Afghan police and 18 civilians were killed on Wednesday in a Nato air strike in north-eastern Afghanistan, in which some 30 Taliban fighters were also killed, the governor of the province of Nuristan has told the AFP news agency on Sunday.

The police and civilians were targeted Wednesday after they were mistaken for militants, the governor said.
Nuristan was the scene of heavy battles last week between the Taliban and Afghan security forces.

"The policemen were killed due to friendly fire," Jamaluddin Badr told AFP, adding the air strike in the troubled district of Do Ab targeted a location that the officers "had just" taken from the insurgents during fighting.

"Civilians were killed because the Taliban... [who] ran out of ammunition fled into the civilians' houses and then the civilians were mistaken with the Taliban and fired upon," the governor said.

The Nato-led International Security Assistance Force has said it is investigating the allegations. A spokesman told AFP agency that its initial results showed civilians were not involved.

Daud funeral
 
In the country's north, security is extremely tight for the funeral of Gen Mohammad Daud Daud, the police commander for northern Afghanistan who was killed in a suicide bomb attack on the provincial governor's compound in Takhar on Saturday.

He was one of at least six people killed in the attack, which was claimed by the Taliban.
The location of the funeral itself has not been announced for security reasons.
 

Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar taabani



Mashine tano za huduma kwa wagonjwa mahututi, ziitwazo Monitor Machine zimeharibika katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazimoja kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, imebainika.

Kwa kawaida mashine hizo aina ya HP/Hewlett Packard, huwasaidia madaktari kujua mwenendo ya mgonjwa aliyelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).

Uchunguzi wa NIPASHE JUMAPILI, umebaini kwamba mashine hizo zilianza kuharibika moja baada ya nyingine kuanzia mwaka jana na hadi Januari mwaka huu zote ziliharibika.


Uchunguzi huo unaonyesha kuwa mashine hizo ziliwekwa miaka 10 iliyopita, lakini zimekuwa hazifanyiwi matengenezo kutokana na ukosefu wa mafundi wa kuzikagua na kuzitengeneza kwa kuzingatia teknolojia yake.

Kuharibika kwa mashine hizo kwa mujibu wa chanzo cha habari kilichoomba kuhifadhiwa jina, tayari umesababisha watu kupoteza maisha kwa kukosa uangalizi wa afya yao unaohitaji matumizi ya mashine hizo.

Uchunguzi zaidi umebaini kuwa viyoyozi aina ya Sanyo vilivyopo chumba cha ICU vimeharibika na kusababisha madirisha ya chumba hicho kuachwa wazi kuruhusu hewa kupita.

Chumba cha wagonjwa mahututi cha hospitali hiyo kina uwezo wa kupokea wagonjwa sita.

Katibu Msaidizi wa hospitali hiyo, Omar Juma, alithibitisha chumba hicho kukabiliwa na hali mbaya kwa kukosa vifaa hivyo. “ICU na yenyewe ipo ICU inahitaji matengenezo makubwa au kununuliwa vifaa vipya.”
Omar alisema uongozi wa hospitali hiyo tayari umepeleka makadirio ya bajeti ya karibu Sh. milioni 80 kugharamia utengenezaji wa vifaa hivyo.

Alisema matengenezo ya vifaa hivyo ni muhimu ili kuiwezesha hospitali kurejesha haraka huduma kwa wagonjwa.

Mmoja wa madakari bingwa katika hospitari hiyo, alisema mashine hizo huwawezesha madaktari kufahamu kiwango cha hewa safi (oxygen) katika mapafu ya mgonjwa mahtuti.

Alisema kuharibika kwa mashine hizo kumesababisha utoaji wa huduma kwa wagonjwa kutofanyika kwa usahihi unaohitajika kitaaluma.

Daktari huyo ambaye pia aliomba jina lake kuhifadhiwa, alisema wagonjwa wenye matatizo ya kupumua husaidiwa kufanya hivyo kwa kutumia mitungi ya oxygen kwa kuunganisha mpira ili kumwongezea mgonjwa uwezo wa kupumua.

Alisema mashine hizo zilizoharibika pia hutumika kupima kupanda na kushuka kwa shinikizo la damu ya mgonjwa.
Alipohojiwa juu ya tatizo hilo, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Sira Ubwa Mamboya, alisema lipo na tayari hatua za kutafuta ufumbuzi zimeanza kuchukuliwa.

Alisema hatua hizo ni pamoja na kupeleka bajeti serikalini ili kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa ICU mpya katika hospitali hiyo.

“Wakati tukiwa katika mpango wa kutengeneza mashine zilizoharibika pia tuna mpango wa kujenga kitengo kipya cha wagonjwa mahtuti na tunatarajia kupata fedha za mradi huo mwaka huu,” alisema.

Hospitali hiyo inakabiliwa na ukosefu wa vifaa hivyo muhimu katika huduma za afya, huku kukiwa na malalamiko juu ya serikali kuwanunulia magari ya kifahari watendaji wake wakuu wa serikali ya umoja wa kitaifa.

Juhudi za kumpata Waziri wa Afya Zanzibar, Juma Duni Haji, hazikuweza kufanikiwa.

Source: Nipashe

Simba yachezea kipigo kutoka kwa Wydad Casablanca


TIMU ya soka ya Simba SC, jana iliondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada kuchapwa mabao 3-0 na Wydad Casablanca, mechi iliyopigwa uwanja wa Petro-sport, Misri.

Mabao hayo matatu yalifungwa katika dakika tatu za mwisho wa mchezo. Kipa wa Simba Juma Kaseja ndie aliyekuwa mchezaji bora kwa upande wa Simba, kwani aliokoa michomo mingi sana mpaka kufikia dakika ya 87 ndipo mambo yalipoanza kubadilika ambapo timu ya Wydad Casablanca kuanza kujipatia magoli ya haraka haraka.

Mtoto mwenye vichwa viwili azaliwa China



Mtoto huyo alizaliwa katika jimbo la Sichuan akiwa na viungo vyote kamili kama watoto wengine isipokuwa alikuwa na vichwa viwili.

Kwa mujibu wa shirika la habari la China, mtoto huyo alikuwa na mabega mapana ambapo vichwa viwili vilijitokeza kwenye mabega yake.

Taarifa zaidi zilisema kuwa mtoto huyo alikuwa na mikono miwili, miguu miwili na viungo vingine vyote kamili.

Daktari aliyekuwa akiwaangalia watoto hao alisema kuwa ni vigumu sana kwa mtoto huyo kuweza kuishi muda mrefu kutokana na jinsi maumbile yake yalivyoungana.

Saturday, 28 May 2011

Ukame unatisha mashariki na kati ya China

Mashu ya uvuvi imenasa Uchina, kwa sababu ziwa limekauka kutokana na ukame

Serikali ya Uchina inasema watu karibu milioni 35 sasa wameathirika na ukame mkubwa kabisa kutokea katika kipindi cha miaka 50, katika majimbo ya kati na mashariki.


Wakuu wa bwawa la Mabonde Matatu, llinalozalisha umeme kwenye mto wa Yangtze, wanasema pengine hawatoweza kumwaga maji zaidi kwa wakulima, ikiwa mvua haitonyesha katika majuma mawili yajayo.

Kuna upungufu wa umeme na watu zaidi ya milioni 5 wanakosa maji ya kunywa ya kutosha.

Wavuvi wengi wametafuta kazi mijini kwa sababu kina cha maji kwenye maziwa kimepungua na samaki wanakufa.

Mazao yakikauka katika eneo hilo linalotoa nafaka nyingi, basi na bei ya vyakula itazidi kupanda.

NATO yaishambulia nyumba ya Gaddafi

NATO inasema kuwa imeangamiza minara ya walinzi katika eneo la nyumba ya Kanali Gaddafi wa Libya mjini Tripoli, kwa mashambulio mawili yaliyofanywa na ndege za umoja huo wa kijeshi.

Watu wakizungumza karibu na jumba la Gaddafi la Babu al_aziziya baada ya kushambuliwa mwezi Aprili
 

Waandishi wa habari mjini Tripoli, wanasema shambulio moja lilofanywa mchana, lilivunja sehemu za ukuta unaozunguka jengo la jeshi la Bab al-Aziziya.

Msemaji wa NATO, alieleza kuwa shambulio hilo ni funzo kubwa kwa kiongozi wa Libya, kwamba hawezi tena kujificha nyuma ya kuta ndefu.

Hosni Mubarak atozwa faini dola milioni 90

Mahakama ya Misri yameamrisha faini ya dola milioni 90, atozwe rais wa zamani, Hosni Mubarak, pamoja na maafisa wake wawili, kwa kukata huduma za simu za mkononi wakati wa maandamano dhidi ya serikali mwezi wa Januari.

Hosni Mubaraka na mkewe, Heidi, na watoto Gamal (kulia, na Alaa
 

Hiyo ndiyo hukumu ya mwanzo ya mahakama dhidi ya Bwana Mubarak.

Kiongozi huyo wa zamani anakabili mashtaka makubwa zaidi, kama kuamrisha waandamanaji kuuwawa, ambayo adhabu yake inaweza kuwa kifo.

Maafisa wawili waliotozwa faina na Bwana Mubarak ni waziri mkuu wa zamani, Ahmed Nazif, na waziri wake wa mambo ya ndani ya nchi, Habib al-Adly.

Champions League photos specials

Valdes punches clearHernandez tangles with Gerard Pique Rio Ferdinand tackles VillaPedro celebrates his goalRooney scores for Man UtdIniesta runs away from CarrickMessi celebrates his goalXavi takes the ball past GiggsVilla celebrates his goalRooney consoles Hernandez at the end of the gameAbidal raises the winners' trophy  

Barcelona 3 - 1 Manchester utd

Fc Barcelona ndio vinara wa soka barani Ulaya

Timu ya Fc Barcelona ya Uhispania ndio mabingwa wa soka barani Ulaya baada ya kuifunga timu ya Manchester utd ya Uingereza kwa goli 3 - 0.

 Eric Abidal lifts the cup as Barcelona win the Champions League
Eric Abidal akiinua kombe la ubingwa

Mchezo huo uliofanyika katika uwanja Wembley mjini London Uingereza ulitawaliwa na timu ya Barcelona kwa asilimia kubwa. Timu hizo mbili zilienda mapumziko zikiwa suluhu ya 1- 1, Barcelona ndio walikuwa wa kwanza kujipatia goli lililofungwa na Pedro katika dakika ya 27 na mnamo dakika ya 34 Wayne Rooney aliisawazishia timu yake bao hilo.

Pedro celebrates after scoring for Barcelona
Pedro akishangilia goli lake

Wayne Rooney (right) celebrates after scoring for Man Utd
Rooney akipongezwa na Evra baada ya kusawazisha goli

Kipindi cha pili Barcelona walijipatia goli la pili kupitia kwa mchezaji bora wa dunia Lionel Messi katika dakika ya 54 na David Villa mnamo dakika ya 69 aliifungia timu yake bao la tatu na la ushindi.
Lionel Messi scores Barcelona's second goal
Messi akishangilia bao la pili la Barcelona

David Villa celebrates after scoring a third goal for Barcelona
Villa akishangilia goli la tatu dhidi ya Manchester utd

Barcelona kwa ushindi huo wa leo wamefikia rekodi za Ajax ya Uholanzi na Bayern Munich ya Ujerumani za kushinda kombe hilo mara nne kila mmoja.

Leo ndio leo, Bingwa wa vilabu Ulaya kupatikanwa Wembley

Ule mpambano uliokuwa ukisubiriwa na wengi takribani dunia nzima leo ndio umefika katika siku yake. Ni mechi kati ya mabingwa wa soka nchini Uingereza na mabingwa wa soka nchini Hispania.

Miamba hiyo ya soka barani Ulaya watacheza mechi ya Fainali ya klabu bingwa barani Ulaya katika mji wa London katika uwanja maarufu wa Wembley. 
   iLionel Messi sits on a ball during a break as Barcelona train at Wembley ahead of the Champions League final
Messi mazoezini

Wayne Rooney grins as he trains at Wembley on Friday ahead of the Champions League final
Rooney mazoezini

Barcelona train at Wembley on Friday as the stadium prepares to host the Champions League final
Uwanja ukiwa katika hali ya kuridhisha

Barcelona coach Pep Guardiola makes a point his team train at Wembley on Friday ahead of the Champions League final
Guardiola kaifahamisha kitu kwa wachezaji wake

Sir Alex Ferguson answers media questions ahead of the Champions League final
Ferguson akisikiliza swali kutoka kwa wahandishi wa habari

Mechi hiyo hiyo inatarajiwa kuanza saa mbili kasorobo usiku kwa saa za Uingereza (2145 hrs Bongo time)

Mshindi wa leo mbali ya kupata medali pia kuna zawadi ya fedha taslimu:

  • Bingwa atajinyakulia      Euro 126
  • Mshindi wa pili atapata  Euro 73
  • Mji unaoandaa fainali     Euro 52 (makadirio)
Source: Mastercard